Search This Blog

Powered by Blogger.

AddThis Smart Layers

Thursday, 14 November 2013


Tunafanya hizi kazi zote za ujenzi na tumejipanga. Kwa wale ambao kampuni kubwa za ujenzi amuwezi zichukua au wao kutotaka kufanya project zenu kwa kuwa ni ndogo kwao. Na pia nyinyi kutotaka tumia wajenzi ambao hawatasimamia au kufanya kazi vizuri basi wasiliana na sisi, ndio tunaweza tukawa jibu. Karibu.

0 comments:

Post a Comment