Search This Blog

Powered by Blogger.

AddThis Smart Layers

Sunday, 24 November 2013

  Inawezekana nyumba yako umeijenga miaka mingi iliyopita. Na tangu ujenge nyumba yako mpaka sasa kuna fasheni nyingi mpya za miundo na mapambo ya nyumba zimekuja.
Muonekano wa nyumba wa zamani
Muonekano mpya


  Kama umechoka na muonekano wa kizamani wa nyumba yako na ungetaka iwe ya kisasa zaidi huna tena haja ya kuumiza kichwa.
  Bulk Build ni kampuni itakayochukua jukumu la kubadili nyumba yako na kuwa ya kisasa zaidi.
  Bulk Build itachukua jukumu la kusimamia ukarabati wa nyumba yako kuanzia ujenzi, umeme, mabomba ya maji, bustani na mpangilio wa ndani.
Kabla
Baada


  Ukichagua Bulk Build huna haja ya kuhangaika tena na mafundi kwa kuwa wengi wao ni wasumbufu.
  Bulk build tuna uwezo wa kubadili nyumba ya aina yoyote na kuwa kama unavyotaka wewe.

Muonekano wa zamani
Marekebisho yakiendelea


  Picha zote hapo juu ni kazi mbalimbali zilizofanywa na Bulk Build.
   Kama unataka kufanya marekebisho kwenye nyumba yako tafadhali wasiliana na sisi ili uweze kupata huduma bora kulingana na mahitaji yako.
Mawasiliano yetu ni;
  SIMU +255688 258 253 /+255713 150 554
EMAIL: info@bulkbuild.com
WEBSITE: www.bulkbuild.com
LOCATION: Goba Rd, Mbezi Beach

Thursday, 14 November 2013


Sio lazima design ya chumba chako ifanane na cha mtu mwingine, tunadesign na kukupatia your dream bedroom na zaidi.





Vipi kuhusu ofisi yako? au kama unampango wa kuwa na ofisi ya aina yeyote pia tunadesign, toa ushauri na kukutengenezea kutokana na matakwa yako ili ufanikishe ndoto yako. Karibu sana



Tunafanya hizi kazi zote za ujenzi na tumejipanga. Kwa wale ambao kampuni kubwa za ujenzi amuwezi zichukua au wao kutotaka kufanya project zenu kwa kuwa ni ndogo kwao. Na pia nyinyi kutotaka tumia wajenzi ambao hawatasimamia au kufanya kazi vizuri basi wasiliana na sisi, ndio tunaweza tukawa jibu. Karibu.